Kocha Mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amekabidhiwa Tuzo yake ya Kocha Bora kwa mara ya pili Mfululizo(mwezi wa tatu na wanne) na kampuni ya Bikosports. Pia nahodha John Bocco amechukua tuzo hiyo kwa mara ya pili mfululizo.Tuzo ya Kocha Bora kwa mwezi aprili imekabidhiwa na Jasiri asiyeacha Asili Sekilojo Chambua Mchezaji wa zamani wa Kimataifa