Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameeleza kusikitishwa kwake na matukio ya wanasiasa kuingilia utoaji huduma za afya na kudhalilisha watoa huduma.

Amesema hakuna mtu anayewatuma kufanya hivyo na kuwataka wadau wote kushirikiana kwa kuwalinda wataalamu wa wafya dhidi ya udhalilishaji.