Mkuu wa jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya kiutendaji kwa kuwahamisha baadhi ya Maafisa wa Polisi na kuteua wengine wapya.