KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema ifikapo Juni Mosi, mwaka huu oparesheni kali itaanza kukagua watu ambao bado watakuwa wanatumia mifuko ya plastiki ambayo imepigwa marufuku na serikali.