Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar wawili hao wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuendeleza ushirikiano.