Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuendelea kupigwa leo Jumatatu ambapo timu nne zitashuka dimbani kusaka point tatu muhimu. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)