SIKU chache baada ya kuanika jumba la kifahari la ghorofa moja analoishi, staa anayeunda Kundi la P Square, Peter Okoye ameanika utajiri wa magari yake. Peter ambaye ni pacha na Paul wanaounda kundi hilo, akitamba na Wimbo wa ‘Wokie Wokie’, juzikati aliweka picha yake akiwa amezungukwa na magari ya kifahari na kupata ‘komenti’ za kutosha […]

The post Peter wa P Square Aanika Utajiri Wake appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2J50X6t