Sio kawaida kwa mwanadada Wema sepetu kupokea mgeni katika viwanja vya ndege kama ilivyotokea alfajiri ya leo kwa kuosekana kwa umati wa watu.Kama alivyokuwa akitoa taarifa ya ujio wa msanii huyo mkubwa kutoka Nigeria, alisema kuwa msanii huyo atakapo fika atakuja kupokelewa na watu mbalimbali kwa sababu ni mgeni wake. Wema amekuwa moja ya watu […]
The post Timu Wema Wamtosa Wema Sepetu Mapokezi ya Van Vicker appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2xIcu7c