WANAWAKILISHA 255 Bongo Tanzania, Moja ya kundi lililokuja kwa kasi kwenye game ya Bongo Flava likiwakilishwa na Quick Rocka, Mo Rocka na Chief Racka nawazungumzia The Rockaz. Rockaz Anthem ni wimbo uliowatambulisha kwa mara ya kwanza kwenye game huku producer Lamar akisimamia production nzima kupitia studio yake ya Fishcrab CookOut (Audio Station). Nakukaribisha kusikiliza/Download kisha […]
The post The Rockaz – Rockaz Anthem (Audio) #REWIND appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2xEnvqc