BAADA ya kimya kingi kupita msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Professor Jay leo ameachia audio ya wimbo mpya alioupa jina la “Vunja Mifupa”. Mtayarishaji wa hii ngoma ni Mr T Touchez huku mwanadada Ruby akihusika kwenye back vocals. Sikiliza Download kisha share na wana!. DOWNLOAD AUDIO
The post Professor Jay Ft Ruby – Vunja Mifupa (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2Qfccvx