UNAWEZA kumuita Konki Master au Chege moja ya Bongo Flava artists wanaofanya game ya muziki kwa muda mrefu nchini Tanzania, Nakukaribisha kusikiliza audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Mtu Mzima. Track imetayarishwa na Beef Chaa kutoka studio za MJ Records. Sikiliza,Download kisha share na wana. DOWNLOAD AUDIO
The post Chege – Mtu Mzima (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2NFCWIy