Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na ngoma zake kama vile Relax na Nyota, Peter Msechu amekanusha tetesi za kushuka kimuziki. Tetesi za Peter Msechu kufulia zilitokana na ukimya wake Kwenye gemu kwa kipindi kirefu bila ya kuwa na nyimbo iliyofanya vizuri kwa muda mrefu kama ilivyokuwa siku za nyuma. Peter Msechu amesema […]

The post Msechu akanusha kufulia kimuziki appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2tP2ZRL