MOJA ya artist waliofanya vizuri nchini Kenya kwa hit songs zisizoisha utamu ni “Trapee” anahusika. Leo nakusogezea audio aliyowahi kutengeneza na kufanya vizuri pande za kenya ni hii “Najivunia” akishirikiana na mwanadada Avril. Najivunia ni wimbo ambao unamfanya mtu ajivunie na nchi yake kwa kila hali. Ngoma ilitoka mwaka 2011 na ilitayarishwa na Ogopa Deejays. […]
The post Trapee – Najivunia Ft. Avril (Audio) #REWIND appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2Mwnidv