SUGU (JONGWE) – 219 BAADA ya kupita kimya kingi tangu Sugu (Jongwe) kutoka jela leo ameachia audio ya wimbo wake mpya rasmi ambao amezungumzia maisha aliyokuwa halisi akiishi kabla ya kuingia na baada ya kutoka jela. 219 ni namba aliyokuwa akiitumia gerezani na ndiyo jina la wimbo. Audio imetayarisha na mtayarishaji maarufu nchini Mr T […]

The post Sugu (Jongwe) – 219 appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2ldISIf