Huku juhudi za kisiasa pamoja na zile za kisheria kuleta usawa wa kijinsia kupitia kuwa na wanawake wengi katika nyadhfa za juu zikiendelea duniani, kipindi kimoja cha runinga kimeanza nchini Kenya kikiwa na lengo la kuendeleza mjadala huo mbele, kupitia ajenda ya ‘wanawake kama viongozi’ kwa lengo la kukuza usawa wa kijinsia na viongozi wanawake. […]

The post Kenya waanza mchakato wa kumtafuta Rais wa Kwanza Mwanamke appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2sWExwx