MKALI wa Bongo Flava Tanzania Dully Sykes baada ya kutamba na ngoma yake ya Bombadia sasa amekuja na nyengine tena “Zoom”. Wimbo umetayarishwa na Mr T Touchez. Baada ya Bombadia kutikisa chati za muziki afrika mashariki inaonyesha kuwa dully ameanza kumuamini Mr T Touch na kuamua kufanya nae nyengine kali zaidi. Mwendo ni ule ule […]

The post Dully Sykes – Zoom (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2JoSJcK