Msanii wa nyimbo za Injili nchini Walter Chilambo ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya ‘Only You’ amepewa nguvu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Erick Shigongo pamoja na msanii Jux katika kuhakikisha wimbo wake huo unawafikia watu. Kutokana na ujumbe ambao upo ndani ya wimbo huo na uzuri wake […]

The post Walter Chilambo Kupewa Support na Paul Makonda appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2JVd2ua