Ramadhan ndugu yenu, nimekuja toka mbali, Nimetoka kwa Mola wenu, Muweza Mola Jalali. Kanipa salamu zenu, na zawadi mbali mbali, Mnipokee niwe kwenu, Ndugu zangu tafadhali, Mimi ni wenu mgeni, kunifukuza muhali, Kwa mwaka nakujieni mara moja hilo kweli, Mwezi mmoja oneni, si miezi kumi na mbili, Sikai ndefu zamani, kwa hali zenu kujali, Mekuja […]

The post Lyrics: Jina Langu Ramadhani Ziara Yangu Neema (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2wJEbhK