Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia ‘kifungo cha nje’ kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela Novemba mwaka jana baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Ofisa Habari wa Jeshi la Magereza, Lucas Mboje amesema Lulu […]

The post Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Kutumikia Kifungo Cha Nje appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2L0ZqyM