MOJA ya wadada walioipa nguvu Bongo Flava yetu na kuifanya itambe kwa wakati huo kutokana na kipaji chake cha uimbaji ni Josephine. Nahisi naibiwa ni moja ya wimbo wa josephine uliotamba enzi za 2005s back to back na kumtambulisha vyema bidada huyu japo ngoma ya kibanda cha simu aliyoshirikishwa na Soggy Doggy ndiyo ilimtambulisha kwenye […]

The post Josephine – Nahisi Naibiwa (Audio) ⏪ REWIND appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2IspIw7