Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Dogo Janja azidi kuyaanika mapenzi aliyonayo hadharani kwa mke wake ambaye ni Muigizaji, Irene Uwoya. Dogo Janja kupitia ukurasa wa instagram amepost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika caption iliyoandikwa hivi “thamani ya upendo wako ni ya maisha kama maisha yalivyo ni upendo.” Irene Uwoya nae hakukaa […]

The post Dogo Janja Na Irene Uwoya Mapenzi Moto moto appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2HGyK8h