Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea mtoto wake huyo aolewe na mzungu. Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Shufaa amesema sababu ya kutaka aolewe na mtu wa aina hiyo ni kutokana na wanaume wa kiafrika kutokuwa na mapenzi ya kweli. “Unajua mtoto wangu ni mzuri, mrefu ana shingo nzuri […]
The post Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2HsqPLc