TUMEZOEA Kwenye kila wimbo wa Domokaya basi Mandojo lazima awe pembeni yake either aimbe au afanye backvocals ila kwenye hii iko tofauti kidogo Domokaya Amekuja na audio mpya “Wazimu”. Ngoma flani hvi ya mapenzi, Sikiliza Download Kisha share na wana! DOWNLOAD AUDIO
The post Domo Kaya – Wazimu (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2GH8BG6