BUNGENI: Msanii Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz amefikishwa Polisi jana kuhojiwa kutokana na kusambaza kwa video zake zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Sanaa Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa Bungeni wakati akijibu swali juu ya kanuni za maudhi ya Mitandaoni Aidha, Dkt. Mwakyembe amesema Msanii […]
The post Diamond Platnumz Amefikishwa Polisi Kisa Video Zisizo na Maadili appeared first on Bongo Exclusive.
from Bongo Exclusive http://bit.ly/2HJtU7i