Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana Jumatatu Aprili 16 alishikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano kufuatia kusambaza picha zisizo na maadili. Mambosasa amesema  kuwa Diamond alihojiwa na kupewa dhamana jana Jumatatu huku uchunguzi zaidi ukiwa unaendelea na utakapokamilika ataitwa tena polisi. “Alihojiwa […]

The post Diamond Platnumz Aachiwa Kwa Dhamana appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2HExdwo