BAADA ya kutamba na kibao cha Sina (Wivu) sasa Bright amekuja na audio ya wimbo mpya alioupa jina la Onga Onga. Mtayarishaji ni K Zoo Finest. Sikiliza,Downlaod Kisha share na wana! Chorus Quote: Na kama wewe unanitaka mimi, Onga Onga ee, Msingi Kiuno Mjini maneno, Onga onga ee Nawakomesha madada mjini Msingi Kiuno Mjini maneno, […]

The post Bright – Onga Onga (Audio) appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2H60wtT