Mwanamuziki wa Marekani, Usher Raymond na mkewe Grace Miguel wameachana baada ya miaka miwili ya ndoa yao. Wanandoa hao wametangaza kuachana baada ya kupita miaka miwili ya ndoa yao na kudumu kwenye mahusiano kwa miaka 10. Hata hivyo Chanzo cha karibu cha wawili hao kimeuambia mtandao huo, Usher na Grace wametengana tangu miezi michache iliyopita. […]

The post Usher Raymond Aachana Na Mkewe appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2D6QLph