VIDEO vixen kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa anatarajia kufunga ndoa na mwanamuziki Alikiba.   Mrembo huyo ameamua kuweka wazi suala hilo baada ya habari hizo kusambaa katika mitandao mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kuhusiana na ndoa ya wawili hao kutarajiwa kufungwa hivi karibuni.   Kupitia mtandao […]

The post Tanasha Donna Akanusha Kuolewa na Alikiba appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2DcWWbh