MSANII wa Bongo Flava kutoka kwenye kundi linalofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki Africa WCB Wasafi, Lava lava anakusogezea Omary Msomali. Ni wimbo ambao amemzungumzia kijana ambaye alikuwa kwenye mstari ila akabadilika ghafla alivyofanikiwa kimaisha na kusababisha mgogoro yeye pamoja na mpenzi wake na kila mpenzi wake alivyokuwa akimrekebisha jamaa aligoma kumsikiliza, ndipo fedha zikamuishia […]

The post Sikiliza Wimbo Mpya Wa Lava Lava “Omary Msomali” appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2oTyxDy