Mpiga picha Maarufu wa Diamond Platnumz Kifesi, Aamua kuacha kazi rasmi kwenye kampuni ya WCB Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platnumz. Mapema leo kupitia Instagram Kifesi ametoa sababu za kujitoa WCB kama zinavyosomeka hapo chini “Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. […]

The post Kifesi Aacha Kazi Rasmi WCB appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2J7uL1P