ANAITWA Elom Adablah (31) au kwa jina la kisanii anajulikana kama EL. Ni msanii kutoka Ghana abaye leo tunareview moja ya ngoma iliyompa umaarufu zaidi afrika ya magharibi na afrika kwa ujumla ni hii Auntie Martha. Auntie Martha ni wimbo ambao jamaa anamuimbia mama wa mpenzi wake kuwa anataka kumuoa mwanae, hivyo anamuomba amruhusu waweze […]

The post E.L – Auntie Martha (Audio) | REWIND appeared first on Bongo Exclusive.



from Bongo Exclusive http://bit.ly/2G5qSJD