Watch brand new video ya wimbo mpya wa Papii Kocha – Waambie Download audio hapa  CHORUS Mungu waambie uliniona nilipokuamba ulisikia na ukaitika mungu waambie uliposema u waja na wala hukukosea njia na ulifika Mungu Waambie ni wewe ni wewe Mungu Waambie uliyesababisha leo ikafika

The post VIDEO: Papii Kocha – Waambie (Ni wewe tu) appeared first on Bongo Exclusive.from Bongo Exclusive http://bit.ly/2o3GWnv