Steven Kanumba - Nitayainua Macho Yangu (Audio)

 ALHAMIS EXCLUSIVE  Leo kwenye TBT yetu tujikumbushie ngoma aliyoitoa aliyekuwa msanii wa filamu Bongo (Tanzania) Steven Kanumba,wimbo unaitwa Nitayainua macho yangu ambao ameproduce mwenyewe kila kitu.Steven Kanumba alifariki mwaka 2012 akiwa na umri wa miaka 28.Mungu ailaze roho ya marehemu Steven kanumba mahali pema peponi Amen!

CHORUS:
 Nitayainua macho yangu nitazame milima (aaa),
 msaada wangu baba utatoka wapi,
msaada wangu katika bwana mbingu na injili zake,
asiuache mguu wako usogezwe, 
Atasinzia atalala yeye mlinzi wangu,
atanilinda mabaya yote na nafsi yangu