Download: Abby Skills Ft Dully Sykes,Zahran - Nakupenda | Audio
ALHAMIS EXCLUSIVE Leo TBT yetu tunaanza na AB Skillz na wimbo wa "Nakupenda" akimshirikisha Dully Sykes na Zahran. Ni moja ya kolabo kali za bongo flava zilizowahi tingisha jiji kila kona.Track ilikuwa produced chini ya studio za G Records.Picha (Wananchi Video Production)Enjoy Kisha Share na wana!!
Chorus: Dully Sykes Nilikupenda na kupenda,na nitazidi kukupenda, popote unapokwenda daima minitaenda,wanga wanaleta propaganda, na kuanza kukuponda, hiyo mimi sijali nitazidi kukupenda.