Baraka Da Prince Ft. Ali Kiba – Nisamehe
 NEW SONG ALERT  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Baraka da prince kuachia wimbo mpya tarehe 13.9.2016.huku Alikiba akiwa kashirikishwa ngoma hiyo.Kupitia akaunti ya ke ya instagram msanii huyo amepost picha huku akitupia caption inayosomeka 

The most anticipated collaboration "Nisamehe" will officially be released on 13.9.2016. More details to follow #Nisamehe#Prince x #KingKiba#HeirToTheThrone@rockstar4000 @sevenmosha @beingaidancharlie @najdattani"

Get Ready!! Tembelea Bongo Exclusive kuipata audio hii Exclusively