Soma Alichokiandika Nikki Mbishi Kuhusu Operesheni UKUTA

Hiphop Artist Nikki Mbishi anayetamba na hit song ya "Tulikuwepo" leo kupitia account yake ya Instagram ametoa maoni yake kuhusu operesheni ukuta inayotarajia kufanyika tarehe mosi septemba Soma zaidi hapo chini

Vijana wa mama wa Tanzania,wakijifua kwa ajili ya kuvunja #UKUTA September Mosi bila kujali kuwa #UKUTA huo utawaangukia mama zao,baba zao,wajomba zao,watoto wao,bibi na babu zao, kaka zao, dada zao,walemavu,wasiojiweza na wapendwa wao wote. Amani iliyokuwa ikihubiriwa na kuipamba Tanzania nje ya mipaka inaelekea kubaki kwenye kumbukumbu. Rais alipaswa kutumia njia za kidiplomasia kupata #Suluhu ya usawa na haki kwani hakuna anayetaka #Urais wake ikiwa alishapitishwa na kuapishwa,basi achukue hata dakika 5 kusikiliza upande wa pili maana nao kwa nafasi zao wapo wananchi waliowaamini kiasi cha kuwapa dhamana ya kuwawakilisha #Bungeni. Kupuuza kila hoja kutoka upinzani ili hali hata misingi ya sheria haisimamii ni kujihakikishia nafasi za kazi kwa walioteuliwa na mkuu na inaashiria wazi kuwa hakuna kiongozi anayetumia #UTASHI wake binafsi kuongoza bali wanatumia nguvu ya msukumo kutoka juu #KUTAWALA. #ZAMANI nilikuwa #NAJIVUNIA kuwa #MTanzania lakini sasa #NAVUMILIA_KUWA_MTANZANIA #Magufuli kaa chini uzungumze na wenzio maana sio wapumbavu nao pia wana hoja za msingi,wasikilize japo kidogo ndio #DEMOKRASIA. Vinginevyo tunakaribisha #MACHAFUKO ambayo #Nyerere angekuwepo sijui mngemwambiaje!!! Ni mawazo yangu #Msanii_Njaa,ambaye @king_bonge_ kasema niache muziki kwa kuwa #SijasajiliwaFiesta pia #Harmonize kaanza juzi ila kanizidi kila kitu kuanzia umaarufu,demu mkali,pesa na mali anazo miliki. #UNJU
A photo posted by ICONICAS (@nikkimbishi) on