Radio mbili zafungwa,Waziri wa Habari Nape Nnauye amevifungia vituo vya redio Magic FM-Dar na Redio 5 Arusha kwa madai ya uchochezi.

“Adhabu hii ya kuvifungia kwa muda vituo hivyo viwili inaanza leo (Agosti 29 2016) hadi pale kamati itakapomaliza kazi yake,” alisema Nape.