THROWBACK THURSDAY Leo kwenye TBT ya Bongo Fleva ni ni wimbo wa Balozi DolaSoul - Kwenye Chati.Ngoma hii ni moja ya hit songs zilizo bamba mbayaa Tanzania na Africa Mashariki kutoka kwa mwana hip hop huyu ambaye kwa sasa anaishi Ughaibuni.Track iko produced chini ya producer Mika Mwamba. Soma mistari(Lyrics) zake hapa za kiitikio, Sikiliza/Download Kisha Share na wana..!
Chorus Wengi walikwepo sasa hivi wapo wapi,wako wapi Balozi bado nipo ninapanda kwenye chati,kwenye chati Nashika ile ile,ile moja namba natamba Nina uhakika kila mwaka,wa kubaki kwenye chati (Yeeah) x2