
Watch/tazama video barack obama akiimba wimbo wa justin bieber - sorry. Video hii imefanyiwa editing kwa kuchukuliwa maneno yaliyotamkwa na raisi huyo kwenye hotuba zake na kupachikwa kwenye wimbo kana kwamba ni yeye ndo aliyeimba.
Edited by Baracksdubs