Akothee ni msanii mwenye watoto watano lakini bado ameonekana kuwa mrembo huku akidaiwa kuwa na mimba nyingine kwa sasa.

Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi

Muimbaji huyo kutoka nchini Kenya ameonekana kuanza kuwapiga bao wasanii wengine kutoka nchi hiyo kutokana na juhudi anazozifanya kwenye muziki wake huku akiwa tayari ameshafanya collabo na mastaa wawili wakubwa Afrika, Diamond na Mr Flavour.


Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi

Aidha Akothee aka Madam Boss ni mmoja kati ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na biashara zake anazofanya ikiwemo ya kilimo na usafirishaji.
Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi