Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania.

Papa Wemba Ft Diamond Platnumz Kutoka hivi karibuni

Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki wa Diamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.