Ukiwa muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuhitaji upigane busu na mtu anayecheza kama mpenzi wako na ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubadilishana mate kwenye screen.

Wema Sepetu na mabusu ya ukweli kwenye filamu hii mpya (Video)

Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram, anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi.Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.