ANNOUNCEMENT
 
  Habari wana Bongo Exclusive,kutokana na sababu za kiusalama zilizo nje ya uwezo wetu, tunategemea kuihamisha domain extension yetu ya bongoexclusive.tk (DOT TK) kwenda extension nyingine muda wowote kuanzia sasa hii nikutokana na baadhi ya machapisho yetu kutokupokelewa na search engines kwasababu ya wamiliki wa domain extension ya DOT TK  (Freenom) kuweka limitations, pia wasajili (Registrar) wa domain hiyo kutokua muaminifu.Kama CEO wa Bongo Exclusive na wachapishaji/waandishi wenzangu tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

kupata updates ni wapi tutahamia, tembelea katika kurasa zetu za Facebook,twitter na instagram @bongoexclusive