EXCLUSIVE  Nay Wa Mitego - Saka Hela (Lyrics) | Mistari

Nay Wa Mitego - Saka Hela (Lyrics)

[Verse 1]

Umezaliwa mwaka gani? 2005
Mtoto wa juzi unakula ngano
Unapenda mademu kumbuka kuna gono
Ukiwa na hamu basi tumia condom
Hey toka kitaani kwa majangiri
We talk about money, mademu nafasi ya pili
Nata na beat ka sio mashairi
Najenga ghorofa ndo maana nimekuwa bahiri
Hii salamu kwa mademu walonikataa
Tell them I got money, ila sio papaa
Naishi ka Bob Marley, ila sili ganja
I’mma rude boy, new generation I say
Heyo ma-rap haters, hamna hela?
Hata ukizima beat mi napiga acappella
Na hela nyingi japo naishi kisela
Haters I’m sorry kama nawakera

[Hook]


Ehee… ehee…
Ehee… ehee…
Washa! Ehee…
It’s time for the money
Ehee…
Muda wa biashara tuwabane
Ehee…
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee…

[Verse 2]


Hizi ndo flow matata
Saka hela baadae tukale bata
Huna mkwanja noma kufuata fuata
Sura pesa, bonge la demu matata
Bonge la demu matata!
Nyie ma-zombie, mnashindana na vampire
Mko bond, mnaogea petroli mi nna fire
Hapa vumbi, utawaka umekanyaga waya wee
Weka kambi, vibaka wana mkaliwaya
Slow down, punguza hasira
Usiwe na hila, ngoma bila bila
Hold on, tuliza mpira
Hii ndo time ya hela
Ngoma tena sio bila
Sista duu, mbona unaniganda, unanitaka?
Ushasikia parapanda ingia chaka
Ni bosi toka kitaani sina time na ma-sucker
Hapa pesa sio tatizo mi najua kuzisaka
“Nay, umekuwa handsome!”
Sio G, bonge la handsome
Mademu wakiniona wanapanda wazim
Dada ako akinitaka mi sitaki mkata stim
Na demu wako akinitaka namkamulia ndim

[Hook]


Ehee… ehee…
Ehee… ehee…
Washa! Ehee…
It’s time for the money
Ehee…
Muda wa biashara tuwabane
Ehee…
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee…
[Bridge]
Wanapata homa, kila wanapopita mi navuma
Balaa, sirudi nyuma
Wanabisha ila namba wanaisoma
Heyo tulizaliwa free, tunaishi free
Welcome tu my Free Nation, uwi
Na-bang na Mr T kwenye ngoma hii
Tuna-hit bila promotion, uwi

[Hook]


Ehee… hey hey hey, ehee… hey hey hey
Ehee… hey hey hey, ehee…
Washa! Ehee…
It’s time for the money
Ehee…
Muda wa biashara tuwabane
Ehee…
Baadae kwenye bata tukutane
Ehee…

[Outro]


Owkay, anaebisha na abishe
Wanangu wa kitaani niaje?
Ee tusake hela
Aa mapenzi baadae
Na atakae kudhurumu…
Kudadadeki pigana nae
It’s a 966 baby
Money makers
Make money, it’s time for the money
Boss from the street
Boss is right here
T Touch, whats up?
Free Nation!