
[Hook – Dully Sykes] x2
Usipime!
Ujue mimi bado namba moja
Utanieleza nini we kinyago
Mi mashine!
Ninaefanya kazi kama soldier
Unavyoniona hivyo ndo nilivyo
Usipime!
Ujue mimi bado namba moja
Utanieleza nini we kinyago
Mi mashine!
Ninaefanya kazi kama soldier
Unavyoniona hivyo ndo nilivyo
[Verse 1 – Baghdad]
Kwenye rap sensei
Nimezaliwa ushuani ingawa sipajui Obay
Nikikupa bee, unipepe
Maji kampe Ray
Jiwe lisilopotezwa kwa miluzi
Majani acha nawatumia ngada tena kampe mbuzi
Ado ado sio November
Ukisikia Yesu kafufuka sio December
Ujanja sio six pacs, mademu wanafata mkwanja
Kwa vibabu kwenye game manjemba
Kuna boom mbili: moja movie, moja chuo
Na ukipata room mbili badili maisha na nguo
Madrasa na Mlimani vyote vyuo
Kinaanza cheti cha ndoa, ndipo mtihani wa kulala bila nguo
Radhi ya kuona utupu wa mwenzio
Inabeba siri anajua Muumba na mwenzio
Siku hizi machujio yashakuwa chekecheo
Na chuma hakinoi chuma, ni banio kwa fagio
Usije kosa imani ukapiga mbele roba
Ukadanganywa maradhi yatatoka kwa viroba
Ukisikiliza waswahili utaishia kwenda loga
Na ukifata ya wahuni lazima utaishi Sober
[Hook – Dully Sykes] x2
Usipime!
Ujue mimi bado namba moja
Utanieleza nini we kinyago
Mi mashine!
Ninaefanya kazi kama soldier
Unavyoniona hivyo ndo nilivyo
[Verse 2 – Zaiid]
Ee nashikide kama Dully
Nisikiize kama nguli
Na vurugu vurugu mechi nawachimbia kaburi
Matozi wajiweka pozi
Najiweka sura ngumu, najiweka flows
Mademu wajileta course
Mi ndo yule rapper napiga ma-breaker, joh
Na-switch ka Black Rhino au Dan Dada
Beat ka singimba, nakuona ka Mtwara
City to city, na hii to Kampala
Bado mi naleta joto mithili ya Dar mchana
Birthday yangu nipewe Jokate
Ndio cake, ndo fresh, sio kesi
Weusi kunguru, Joh cheki
Mchizi mi namwaga mitindo, njoo udeki
Mashabiki siku hizi ndo fake
Eti “Zaiid anaponda apate kiki, njoo ucheki”
Ha-ha, kwenye game niko shega
Kuna watoto wengi kwenye game niko labour
Nishatega nikirusha hizi panchi nikasepa
Ndo maana nachinja mashabiki wenu wako Eda
[Hook – Dully Sykes] x2
Usipime!
Ujue mimi bado namba moja
Utanieleza nini we kinyago
Mi mashine!
Ninaefanya kazi kama soldier
Unavyoniona hivyo ndo nilivyo
[Verse 3 – P The MC]
Wanachukia sana wakiona mwana napanda dau
Japo sidharau wote mainstream na underground
Kinyang’au, I real murder them up
Kipaji kimeshuka straight out from above
Salute zote zije kwako my mother
Ulisema nisichoke mwanao ni try harder
Ukweli kwamba sijafika nitakapo
But I thank God nimerekebisha michakato
Kiwalani is on my shoulders now
I’m taking over now
Hip Hop is like an army, I’m the soldier now
Mitandaoni wakizidi post ushoga
Nao deal kusaka moja moja tule mboga zao
Unachukia kuona vile mwana I do both
Flows and lyrics dope ka niko New York
Sa ngoja siku ile una-hang juu ya Fuso
Na-ride kwenye bonge la Bima, niko na bulldog
Ziba A, natoka na plan B
Na uta-feel pain siku unaniona na-sign deal
Mi ndo M-A-W-E-N-G-E kwenye U-S-I-P-I-M-E
[Hook – Dully Sykes] x2
Usipime!
Ujue mimi bado namba moja
Utanieleza nini we kinyago
Mi mashine!
Ninaefanya kazi kama soldier
Unavyoniona hivyo ndo nilivyo
[Outro – Baghdad]
Aw, Black Chata
Shout-out to you my brother
Mwenge via Shekilango Road to Kiwalani
Dully Sykes…
Issam Touches…
Daudi Lucas…
Woo!
I’m out!