
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa watu hao waliamka asubuhi mida ya saa moja siku ya ijumaa na kuanza kukatisha mitaa wakiwa utupu huku na wakionekana na nyuso za furaha kana kwamba wame Enjoy kufanya hivo.
Siku hiyo wameipa jina kama Siku ya kuendesha baiskeli uchi duniani.
Ama kweli dunia ina mambo, comment chochote kihusu tukio hili hapo chini.