Hii hapa Singeli mpya  EXCLUSIVE   S Kide (Team Wehu) - Tatizo Kwetu Mbagala

Short Lyrics:
Tatizo kwetu mbagalaaa,Hapa nyumba mbele jalala,
Tatizo kwetu mbagalaaa,kugombea Daladala,
Tatizo kwetu mbagalaaa,Siku tatu mtu ajala,
Tatizo kwetu mbagalaaa,vituko kila idara.


Enjoy!