Picha: Diamond atoboa pua

Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.Ukweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>>

"mlikuwa mmelala sana"amewaamsha kidogo


Baada ya saa kadhaa akatupia picha huku akionekana fresh usoni bila alama yoyote ya kutoboa pua.Tazama picha>>>

Picha: Diamond atoboa pua?