Ile TV series inajulikanayo kama Empire Katika msimu huu ambao ni msimu wake wa 3 hatimae Mtanzania ambaye pia ni muimbaji aishiye Marekani katika jiji la Chicago dada yetu Koku Gonza ameshiriki.

Koku Gonza akiwa na muigizaji mwenzie Hakeem.wakipiga piano