EXCLUSIVE NEWS   Chungaji Penuel Mnguni mkazi wa africa kusini ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia waumini wake wamle nyoka na wakafanya vile walivyoambiwa. 

Ripoti hiyo inasema kua pastor huyo amewaambia kuwa nyoka huyo atabadilika ladha kuwa ya chocolate.Hata hivyo pastor huyo aliwaambia waumini wake kua wakiwa na imani chochote kinaweza kubadilika vile watakavyo.

Tazama picha + video zote hapa chini KISHA TOA MAONI YAKO